e/sw/Mkoa wa Magharibi

New Query

Information
instance ofe/Provinces of Kenya
Meaning
Swahili (macrolanguage)
has glossswa: Mkoa wa Magharibi nchini Kenya, unaopakana na Uganda, ni mojawapo ya mikoa ya utawala ya Kenya nje ya Nairobi. Uko magharibi mwa Bonde la Ufa la Mashariki na ni makao kwa watu asili ya Waluhya. Maadili ya Quakers ni maarufu sana hapa. Mlima wa pili kwa urefu nchini Kenya, Mlima Elgon uko katika Wilaya ya Bungoma. Msitu wa Kakamega ni sehemu ya eneo hili. Makao makuu yake ni mji wa Kakamega. Mwaka wa 1999 idadi ya jumla ya wakazi ilikuwa 3,358,776 katika eneo la 8,361 km ².
lexicalizationswa: Mkoa wa Magharibi
Media
media:imgKenya westp.jpg
media:imgKenya-Western.png
media:imgKenya-relief-map-towns.jpg

Query

Word: (case sensitive)
Language: (ISO 639-3 code, e.g. "eng" for English)


Lexvo © 2008-2024 Gerard de Melo.   Contact   Legal Information / Imprint