Information | |
---|---|
instance of | c/Kenyan people |
Meaning | |
---|---|
Swahili (macrolanguage) | |
has gloss | swa: Leonard "Mambo“ Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Amejulikana kote nchini kutokana na huduma yake ya zaidi ya miaka 40 tangu 1964. Alikuwa mtangazaji wa habari na michezo hasa soka. Tangu 1966 amekuwa hewani na programu yake "Je, hii ni ungwana?". |
lexicalization | swa: Leonard Mbotela |
Lexvo © 2008-2024 Gerard de Melo. Contact Legal Information / Imprint