Information | |
---|---|
instance of | iso3166/KE |
Meaning | |
---|---|
Swahili (macrolanguage) | |
has gloss | swa: Hoteli za Serena ni mnyororo wa Hotelii zinazoendeshwa nchini Afghanistan, Kenya, Msumbiji, Pakistan, Rwanda, Tanzania na Uganda. Ni mojawapo wa makampuni 96 yanayounda Aga Khan Fund for Economic Development (AKFED), sehemu ya Aga Khan Development Network (AKDN) ya kutengeneza faida. Kundi hili hufanya biashara chini ya jina Tourism Promotion Services (TPS Serena). Kampuni hii imeorodheshwa katika soko la hisa la Nairobi na ina mali 19 barani Afrika. |
lexicalization | swa: Hoteli za Serena |
Media | |
---|---|
media:img | Serena Hotel in Kabul.jpg |
Lexvo © 2008-2024 Gerard de Melo. Contact Legal Information / Imprint