Information | |
---|---|
has gloss | eng: Dandora is an eastern suburb in Nairobi, Kenya. It is part of the Embakasi division. Dandora is divided into five phases. Dandora was established in 1977, with partial financing by the World Bank in order to offer higher standard of housing . However, the estate has turned into high-density slum with high unemployment. Nairobis principal dumping site is situated in Dandora, probably causing health problems for local residents. The Dandora Oxygenation Ponds, a prominent feature on satellite imagery of the area, is Nairobis main sewage treatment works, and discharges processed water in to Nairobi River. |
lexicalization | eng: Dandora |
instance of | c/Suburbs of Nairobi |
Meaning | |
---|---|
Italian | |
has gloss | ita: Dandora è una località nei pressi di Nairobi, in Kenya, nota soprattutto per via della discarica di rifiuti, la più grande del paese. Diverse organizzazioni, fra cui il Blacksmith Institute, il Programma delle Nazioni Unite per lAmbiente e i missionari comboniani del vicino slum (baraccopoli) di Korogocho hanno da tempo segnalato larea di Dandora come una delle più inquinate del pianeta. In particolare, i bambini delle baraccopoli adiacenti alla discarica presentano elevatissimi livelli di piombo e altri metalli pesanti nel sangue. |
lexicalization | ita: Dandora |
Swahili (macrolanguage) | |
has gloss | swa: Dandora ni mtaa ulio mashariki mwa Nairobi, Kenya. Ni sehemu ya Tarafa ya Embakasi . Dandora imegawanywa katika phase tano. Dandora ilianzishwa mwaka wa 1977, kwa mchango wa fedha kiasi kutoka kwa Benki ya Dunia ili kutoa makazi ya hali ya juu Hata hivyo, mtaa huu umegeuka na kuwa duni na wenye uhaba mkubwa wa ajira. Biwi la Nairobi la kutupa taka liko Dandora, na pengine husababisha matatizo ya afya kwa wakazi wa mtaa huu. Mabwawa ya Oxijeni ya Dandora, vipengele maarufu kwenye picha za satelaiti ya eneo hilo, ndio eneo kuu la Nairobi la kusafisha maji taka na hufululiza maji yake katika Mto Nairobi. |
lexicalization | swa: Dandora |
Media | |
---|---|
geo loc | geographic location -1.25 36.9 |
Lexvo © 2008-2024 Gerard de Melo. Contact Legal Information / Imprint