Information | |
---|---|
has gloss | eng: Constituencies of Kenya are used to select members of the Kenyan parliament. There are 210 constituencies in Kenya. Kenya has a single-winner voting system, meaning each constituency elects only one MP. Constituencies are further divided into wards, used to select councillors for local authorities of Kenya. Both parliamentary and civic representatives are elected during general elections taking place every five years. The last general elections were held in 2007 and caused a huge riot. |
lexicalization | eng: Constituencies of kenya |
lexicalization | eng: List of constituencies of Kenya |
instance of | iso3166/KE |
Meaning | |
---|---|
Swahili (macrolanguage) | |
has gloss | swa: Maeneo bunge ya Kenya yanatumika kuchagua wajumbe wa bunge la Kenya. Kuna maeneo bunge 210 nchini Kenya. Kenya ina mfumo wa kupiga kura wa mshindi-mmoja, kumaanisha kila eneo bunge linachagua mbunge mmoja tu. Maeneo bunge yamegawanywa zaidi katika kata, zinazotumika kuchagua madiwani kwa serikali za wilaya za Kenya. Wabunge na madiwani wanachaguliwa wakati wa uchaguzi mkuu unaofanyika kila miaka mitano. Uchaguzi mkuu wa mwisho ulifanyika mwaka 2007 na ukasababisha mgogoro mkubwa. |
lexicalization | swa: Maeneo bunge ya Kenya |
Lexvo © 2008-2024 Gerard de Melo. Contact Legal Information / Imprint